1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Suluhisho la msongamano wa malori baina ya Uganda na Kenya

24 Januari 2022

Msongamano wa magari ya mizigo kwenye mpaka kati ya Uganda na Kenya umendelea kwa wiki ya tatu licha ya kuondolewa kwa masharti kwa waendeshaji kuwa na vyeti vya kupimwa COVID-19 kwa saa muda wa saa 72.

https://p.dw.com/p/461Gd