Mwanasheria Mkuu wa Marekani amesema hakuna ushahidi unaounga mkono madai ya Rais Donald Trump ya kuwepo udanganyifu katika uchaguzi // Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanaofuatilia vikwazo vya Sudan Kusini wamependekeza kudumishwa kwa marufuku ya silaha nchini humo // Waziri wa Ulinzi wa Israel, Benny Gantz amesema chama chake kitaunga mkono muswada wa kulivunja bunge