Ufaransa yampongeza Rais wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika baada ya kutangaza kwamba hatogombea urais // Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani, Boeing imesema itaimarisha programu ya ndege yake chapa 737 MAX 8 // Serikali ya Uingereza imesema imefikia makubaliano na Umoja wa Ulaya kuhusu mabadiliko ya mpaka wa Ireland