Matokeo rasmi ya uchaguzi nchini Uganda kutangazwa leo jioni // Zaidi ya watu milioni mbili duniani wamekufa kwa ugonjwa wa COVID-19 // Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas ametangaza kuwa nchi hiyo itamchagua rais mpya kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 15