Rais wa Marekani, Donald Trump ameukosoa Umoja wa Mataifa, akitaka ufanyiwe mageuzi // Shinikizo la kimataifa linazidi kuongezeka kuitaka Myanmar isitishe ghasia dhidi ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rhakine // Kimbunga Maria jana usiku kilijiimarisha zaidi na sasa kinakaribia kufika mashariki mwa visiwa vya Caribbean.