Korea Kaskazini imerusha kombora lake kuelekea Japan mapema leo asubuhi // Viongozi wa nchi nne za Umoja wa Ulaya wamekutana na wenzao wa Afrika kuzungumzia njia za kupambana na uhamiaji haramu // Kiasi ya watu laki tano wa jimbo la Texas, Marekani watahitaji msaada wa serikali baada ya kukumbwa na kimbunga kikali.