Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ahitimisha ziara nchini China kwa kusaini mikataba ya mabilioni ya euro. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apanga kuizuru Colombia kutathmini hali ya amani. Ethiopia yapiga marufuku wageni kuwaasili watoto wa nchi hiyo.