1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, asubuhi saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
5 Januari 2021

https://p.dw.com/p/3nVrX

-Uingereza imetangaza vikwazo vipya wakati maambukizi ya virusi vya corona yakizidi kusambaa

-Rais Faustin Archange Touadera atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

-Saudi Arabia yapanga kuindolea vikwazo Qatar katika juhudi za kuboresha mahusiano Ghuba ya Uarabu