Matangazo
Israel yapitisha muswada wa sheria inayokataza Mwadhini kutumia kipazasauti kuwaita watu msikitini, Makaburi ya watu wengi yagunduliwa katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Washambuliaji wa kujitoa mhanga wameuwa watu 30 katika hospitali ya mjini Kabul-Afghanistan.