13 Novemba 2018
Matangazo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka Israel na Kundi la Hamas kujizuia wakati mzozo wa umwagaji damu ukishamiri kati ya pande hizo. Viongozi wawili muhimu wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamejiondoa katika makubaliano ya kumweka mgombea mmoja wa upinzani. Makundi yanayohasiamiana nchini Libya yanakutana Sicily katika juhudi za kuiunganisha nchi hiyo iliyogawika.