1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
21 Desemba 2018

https://p.dw.com/p/3ATAe

Uchaguzi uliotarajiwa Jumapili hii katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wacheleweshwa kwa wiki moja.
Waziri wa ulinzi wa Marekani Jim Mattis akiuzulu kupinga uamuzi wa Rais Trump kuondoa majeshi ya Marekani Syria.
Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi nchini Madagascar lakumbwa na mvutano, huku kila mgombea akidai ndie mshindi.