3 Januari 2019
Matangazo
Mkwamo katika shughuli za serikali ya Marekani waendelea, baada ya mazungumzo kati ya Rais Donald Trump na viongozi wa Wademokrat bungeni, kuambulia patupu.
Waangalizi wa Kiafrika wasifu jinsi uchaguzi wa DRC ulivyofanyika katika mazingira ya amani.
Vurugu za kidini zashamiri katika jimbo la Kerala nchini India, baada ya wanawake wenye umri wa kujifungua watoto kuruhusiwa kuingia katika hekalu la muungu wa ukapera.