19 Machi 2019
Matangazo
Rais wa Msumbiji asema yumkini kimbunga Idai kimeuwa watu zaidi ya 1000 nchini mwake. Umoja wa Mataifa wamhimiza rais mpya wa DRC Felix Tshisekedi kuunda haraka baraza la mawaziri. Waziri Mkuu Theresa May wa Uingereza apata pigo jingine baada ya Spika wa Bunge kusema hawezi kurejesha mpango wake wa Brexit bungeni bila kuufanyia marekebisho makubwa.