1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
13 Machi 2021

https://p.dw.com/p/3qa0D

-Jiji la Minneapolis nchini Marekani lakubali kulipa fidia ya dola milioni 27 kwa familia ya Mmarekani mweusi aliyekufa mikononi mwa polisi, George Floyd.

-Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO latetea usalama wa chanjo ya covid-19 ya AstraZeneca

-Human Rights Watch yahimiza uchunguzi huru kuhusu vifo vya waandamanaji nchini Senegal