15 Januari 2022
Matangazo
-Umoja wa Ulaya na Urusi waelezea matumaini ya kupatikana makubaliano mapya juu ya mpango wa nyuklia wa Iran
-Maelfu ya watu waandamana nchini Mali kuunga mkono utawala wa jeshi na kupinga vikwazo vya ECOWAS
-Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amejiuzulu, na kuzusha hofu ya mpasuko katika muungano wa kisiasa wa Rais Felix Tshisekedi.