19 Julai 2022
Matangazo
-Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Urusi Recep Tayyip Erdogan wanafanya ziara nchini Iran leo
-Rais wa Ukraine Volodomir Zelenskiy amewafuta kazi wafanyakazi 28 wa ujasusi kwa kutowajibika ipasavyo
-Uingereza na baadhi ya sehemu za Ulaya bara zitakuwa na joto la kuvunja rekodi