Ni jumapili nzuri, karibu kusikiliza taarifa ya habari: Umoja wa Mataifa waitaka Ulaya kuisadia Italia janga la wakimbizi. Waziri mkuu Theresa May anaweza kujiondoa mazungumzo ya Brexit. Na Qatar yasema masharti yaliytolewa na Saudi Arabia hayatekelezeki.