+++Wakuu wa majeshi wa jumuiya ya kikanda ya Afrika Magharibi ECOWAS wakubaliana mpango wa uwezekano wa kuingilia kati kijeshi nchini Niger.
+++Kiongozi wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny amehukumiwa miaka mingine 19 jela.
+++China yathibitisha kushiriki mazungumzo ya mjini Jeddah kuhusu mpango wa amani wa Ukraine.