1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi

Sylvia Mwehozi
7 Aprili 2017

Marekani yaishambulia ngome ya anga nchini Syria. Kamisheni ya Umoja wa Ulaya yaanzisha sheria za kuwasajili raia wote wanaosafiri nani na nje ya eneo la nchi za Schengen. Na maelfu kuandamana Afrika Kusini kumpinga rais Jacob Zuma.

https://p.dw.com/p/2aq4F