1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 07.11.2023

Josephat Charo
7 Novemba 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema Ukanda wa Gaza wageuka kuwa uwanja wa makaburi kwa watoto. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema huu ni wakati muafaka kuandaa uchaguzi wakati nchi ikiwa vitani. Na Umoja wa Mataifa watahadharisha kwamba mapigano ya Sudan yakaribia mpaka wa Sudan Kusini na jimbo la Abyei.

https://p.dw.com/p/4YU21