Ujerumani, Ufaransa na Poland zaitaka Urusi kupunguza hali ya wasiwasi katika mpaka wa Ukraine. Rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen leo anatarajiwa kuwasili mjini Dakar nchini Senegal. Umoja wa Ulaya waiondolea vikwazo Burundi