Muhtasari: //Taiwan yapiga kura hii leo// Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa pande husika kupunguza mvutano katika Bahari ya Shamu //Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak atangaza msaada mpya wa mabilioni ya dola kwa Ukraine // Cape Verde imekuwa nchi ya tatu barani Afrika kutangazwa kutokomeza ugonjwa wa Malaria.