Muhtasari wake: Serikali ya Ujerumani yaidhinisha ombi la Poland la kupeleka ndege za kivita aina ya MiG-29 nchini Ukraine // Pentagon yamnasa mtu anayeshukiwa kuvujisha nyaraka za siri // Korea Kaskazini yafanya jaribio jingine la kombora la masafa marefu.