Muhatasari wa habari za ulimwengu: Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May awasilisha mpango mbadala wa Brexit. Watu 126 wameuawa katika mlipuko uliotokea ndani ya kituo cha kijeshi katikati mwa Afghanistan. Na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yajiandaa kumwapisha Felix Tshisekedi kuwa rais mpya wa taifa hilo.