Tuliyo nayo : Marekani imesitisha huduma za utaoji visa zisizo za wahamiaji katika vituo vya kidiplomasia nchini Uturuki . Kansela Angela Merkel amekubali uwepo wa kikomo katika idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini Ujerumani. Spika wa bunge la wawakilishi la Ethiopia Abadula Gemeda, amewasilisha barua ya kujiuzulu.