1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 03.10.2020

V2 / S12S3 Oktoba 2020

Rais wa Marekani Donald Trump apelekwa hospitali baada ya kupata COVID-19. Armenia yasema iko tayari kusitisha mapigano Nagorno-Karabakh na Azerbaijan. Na, Uingereza na Umoja wa Ulaya kufanya mazungumzo ya Brexit Jumamosi.

https://p.dw.com/p/3jN3I