1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 04.04.2017

Yusra Buwayhid
4 Aprili 2017

Watu 11 wauawa baada ya bomu kulipuka St Petersburg, Urusi. Umoja wa Mataifa wagundua makaburi ya halaiki jimbo la Kasai Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Na Botswana yapigwa na tetemeko la ardhi.

https://p.dw.com/p/2acmj