Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akataa kuweka kikomo cha wakimbizi wanaoweza kuingia Ujerumani. Watu wawili wauwawa na wanane wajeruhiwa katika ghasia za Venezuela. Senegal yasitisha kwa muda shughuli zote za michezo hadi utakapomalizika uchaguzi mwishoni mwa mwezi.