1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 20.01.2018

Yusra Buwayhid
20 Januari 2018

Ujerumani kusitisha mauzo ya silaha kwa nchi zinazoishambulia Yemen. Marekani na Pakistan zajibizana kuhusu Afghanistan katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ahimiza kuundwa kwa serikali imara Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2rCMS