Uganda, na Umoja wa Mataifa waomba msaada euro bilioni 7 kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini. Gazeti la Der Spiegel laripoti Ujerumani ilifanya ujasusi dhidi ya Marekani kwa miaka kadhaa. Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May asema majengo kadhaa jijini London yalijengwa kwa kutumia vifaa vya kushika moto.