Mataifa kadhaa duniani leo yanasheherekea sikukuu ya Eid al-Fitr ikiwa ni mwisho wa mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Mamia ya raia wanaukimbia mji wa Mosul nchini Iraq huku IS wakipoteza nguvu. Umoja wa Mataifa waonya mgogoro waongezeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku idadi ya vifo pia ikiongezeka