1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 30.12.2018

Yusra Buwayhid
30 Desemba 2018

Waziri Mkuu wa Bangladsh atarajiwa kushinda katika uchaguzi wa leo. Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wapiga kura leo kumchagu mrithi wa Rais Joseph Kabila. Waasi wa Houthi wakabidhi udhibiti wa bandari ya Hodeida kwa walinzi wa pwani Yemen.

https://p.dw.com/p/3Am9P