1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 31.05.2019

Yusra Buwayhid
31 Mei 2019

Rais wa Marekani Donald Trump atangaza ushuru wa asilimi 5 dhidi ya bidhaa za Mexico. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa achagua Baraza jipya la Mawaziri. Na, Mwili wa Etienne Tshisekedi hatimaye wawasili Kinshasa.

https://p.dw.com/p/3JWUD