Umoja wa Mataifa kuanzisha mazungumzo ya kuisaidia Sudan kupata suluhu ya kumaliza mzozo nchini humo, kundi la waasi wa Tigray TPLF lasema shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la serikali ya Ethiopia lasababisha vifo vya raia 56 na Kazakhstan yasema aliyekuwa afisa wake mkuu wa usalama Karim Masimov akamatwa kwa tuhuma za uhaini