1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 17.11.2023

17 Novemba 2023

Ukanda wa Gaza unakabiliwa na ukosefu wa mtandao wa intaneti na mawasiliano ya simu, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema usambazaji wa makombora muhimu kwa nchi yake umepungua na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaitaka Syria kusitisha mpango wake wa mateso

https://p.dw.com/p/4YzfF