1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 18.10.2020

18 Oktoba 2020

Wizara ya mambo ya nje ya Iran yasema marufuku ya muda mrefu ya uuzaji silaha kutoka na kuingia nchini humo yafikia muda wake wa mwisho mapema leo, mamilioni ya raia barani Ulaya wakabiliwa na vikwazo vipya vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona na rais Donald Trump afanya kampeni kwa mwendo wa kasi

https://p.dw.com/p/3k5h0