Shirika la afya duniani lasema halina mipango wa kubadilisha muongozo wake wa kupendekeza uvaaji wa barakoa za vitambaa, Rais wa Marekani Joe Biden aonya kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona nchini marekani inatarajiwa kupita watu laki 6 na Ubelgiji kupiga marufuku safari zote za burudani nje ya nchi kwa raia wake kuanzia wiki ijayo