1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaYemen

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 27.01.2024

27 Januari 2024

waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kutoa msaada zaidi kwa wakimbizi nchini Sudan Kusini, waasi wa Houthi wa nchini Yemen wazidisha mashambulizi dhidi ya meli zinazotumia njia ya Bahari ya Shamu na Rais wa Urusi Vladimir Putin aahidi kuweka hadharani matokeo ya uchunguzi wa nchi yake kuhusu ajali ya ndege katika eneo la Belgorod

https://p.dw.com/p/4bjof