1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAfrika Kusini

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 30.12.2023

30 Desemba 2023

Afrika Kusini imewasilisha kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) , Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kujadili hali nchini Ukraine na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi

https://p.dw.com/p/4aiju