Vidokezo: Mkuu wa shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus, aonya kwamba janga la COVID-19 linaendelea kuwa baya zaidi ulimwenguni.//
Waziri wa mambo ya nje nchini Marekani Mike Pompeo asema madai ya China katika bahari ya Kusini mwa China ni kinyume cha sheria. // Wanamgambo wa Kiislamu wawaua wanajeshi 10 wa Nigeria