VIDOKEZO: Marekani yarekodi maambukizi mengine mapya ya juu zaidi ya virusi vya corona. // Misri yaitaka Ethiopia kuipa maelezo kamili ikiwa imeanza kujaza maji kwenye bwawa lake. // Twitter yathibitisha udukuzi wa kurasa za watu umefanywa katika mtandao wake