SiasaTamasha la filamu la 2019 visiwani ZanzibarTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette11.07.201911 Julai 2019Mwanamzuki mkongwe wa Afrika ya Kusini, aliyeimba wimbo wa kuitukuza Zanzibar Sipho Hotstix Mabuse awasili Zanzibar kwa mara ya kwanza tangu atunge kibao hicho kwa mawazo fikirishi miaka mingi iliyopita. Zaidi sikiliza kipindi "Karibuni"https://p.dw.com/p/3Lw8wMatangazo