Tanzania: Kampeni ya Afya ya Uzazi Salama
14 Machi 2014Matangazo
Takwimu za umoja wa mataifa zinaonesha kila siku wanawake 24 wanakufa kutokana matatizo ya uzazi. Kutoka mkoani Rukwa nchini humo Sudi Mnette amezungumza na Mratibu wa muungano wa kimtaifa wa Utepe Mweupe na uzazi salama-White Ribbon, tawi la Tanzania, Mary Mlay kwanza anaanza kwa kuelezea sababu za vifo hivyo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Mohamed Abdulrahman