Tanzania: Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Burundi afikishwa mahakamani
16 Januari 2012Matangazo
Kwa mara ya kwanza alipandishwa kizimbani mwishoni mwa wiki akikabiliwa na mashtaka ya mauaji, yaliyotokea nchini Burundi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi. Alex ambaye ni mwandishi wa habari na mmiliki wa kituo cha radio Publiq cha mjini Bujumbura alikuwa mpizani mkubwa wa rais Nkurunzinza katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 lakini alijitoa kabla ya kukimbilia uhamishoni ulaya.Kutoka daresalam mwandishi wetu Abubakary Liongo ametutumia taarifa ifuatayo.
Mwandishi: Aboubakary Liongo
Mhariri: Yusuf Saumu