1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yarejesha mashindano ya michezo ya jadi

13 Desemba 2021

Baada ya takribani muongo mmoja, hatimae Tanzania yarejesha tena mashindano na matamasha ya michezo ya jadi, lengo kuu likiwa kuendeleza mila za jadi na kutumia jadi hizo katika kutoa ajira kupitia sekta ya utalii na maeneo mengine.

https://p.dw.com/p/44CqK