Televisheni ya digitali nchini DRC
12 Novemba 2015Matangazo
Nyingi ya nchi za kanda ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara bado hazikujiandaa kuanza mfumo huo. Hata nchi ambazo kiuchumi ziko imara na mfumo wake wa mawasiliano ya televisheni kuonekana kuwa bora kama Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimekabiliwa na matatizo.