SiasaTrump atoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa06.10.20206 Oktoba 2020Rais wa Marekani ameondoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19. Rais Trump amesema anajisikia vizuri sana. Hata hivyo haijajulikana atakaa karantini kwa muda gani. Awali alisema anatarajia kurejea kwenye kampeni hivi karibuni. #Kurunzi #COVID-19https://p.dw.com/p/3jhzKMatangazo