SiasaTshisekedi ajiondoa mgombea wa pamoja DRCTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMohammed Khelef13.11.201813 Novemba 2018Kiongozi wa chama kikubwa zaidi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, amejitoa kwenye makubaliano ya kuwa na mgombea mmoja wa nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. https://p.dw.com/p/38ArDMatangazo