Kampeni ya uchaguzi mkuu wa Desemba 23 nchini DRC imechangamshwa na kuwasili Kinshasa kwa viongozi wawili wa upinzani walioungana. Felix Tshisekedi na Vital Kamerhe wamewatolea mwito wapinzani wengine kuwaunga mkono ili waweze kuushinda uchaguzi huo, huku mgombea wa chama tawala, Ramazani Shadary, akijinadi katika jimbo la Katanga. Sikiliza taarifa ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.