1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuko tayari kuisaka dhahabu

28 Machi 2022

Congo-Kinshasa imebarikiwa madini mengi. Tizama wachimba madini wadogo nchini DR-Congo jinsi wanavyoisaka dhahabu katika shimo refu lenye giza. Mwandishi wa DW Mitima Delachance aliambatana nao shimoni. #kurunzi

https://p.dw.com/p/497tG